Kwa mujibu wa ripoti ya Kitengo cha tarjuma cha Shirika la Habari la Hawza, Hujjatul-Islam Sayyid Muhammad Rizwi, katika kikao cha maombolezo kilichofanyika katika eneo la Soru, Kargil – India, kwa kuelezea ujumbe wa Ashura, aliitaja Karbala kuwa ni chuo cha milele cha kusimama imara dhidi ya dhulma na ukandamizaji, na akasisitiza kuwa: Njia ya Imam Hussein (as), ni njia ya uhuru, heshima ya mwanadamu na kuhuisua ukweli; njia ambayo hadi leo imekuwa chanzo cha msukumo kwa mataifa huru duniani.

Mwanazuoni maarufu wa Kargil, India: Karbala ni somo la kusimama imara na uhuru kwa ajili ya historia yote
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Muhammad Rizwi, katika hotuba yake kuhusu ujumbe wa Ashura, aliielezea kuwa, Karbala kuwa ni chuo cha milele cha kusimama dhidi ya dhulma na ukandamizaji, na kusisitiza kuwa: Njia ya Imam Hussein (as), ni njia ya uhuru, heshima ya mwanadamu na uhuishaji wa haki; njia ambayo hadi leo imekuwa chemchemi ya msukumo kwa mataifa huru duniani.
Maoni yako